Mwenyekiti wa kambi kuu ya upinzani na mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freemon Mbowe, ameonesha hali ya kuchoshwa na usumbufu wa kupelekwa mahakama na pia matukio mbalimbali.
Mbowe amebainisha hayo katika waraka alio uandika leo katika ukurasa wake wa Twitter.
Soma waraka huu hapa
RECOMMENDED FOR YOU: